Posts

Showing posts with the label ban Ki-Moon

Pamokoo LGBTQ Ban Ki-Moon anaguswa sana na haki za Gays

Image
            Angalia Video hii 👇 Mwandishi: PAMOKO Facebook: PAMOKO Instagram: PAMOKO Twitter: PAMOKO YouTube: PAMOKO Google: PAMOKO BAN KI-MOON ANAGUSWA SANA NA HAKI ZA GAYS Ikiwa May 17  ni siku ya kimataifa ya kupinga ubaguzi dhidi ya wapenzi wa jinsia moja, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon alisema kundi hili bado linapata ubaguzi kuanzia majumbani mwao hadi maofisini hata kama kuna sheria zinazowatetea. Katika ujumbe wake Ban alisema majumbani wanatelekezwa, shuleni wanaburuzwa na maofisini hunyanyapaliwa na hata kukataliwa kuajiriwa kisa tu mtu ni shoga, msagaji au amebadili jinsia yake, LGBT. Ban alisema kila mtu ana haki ya kuishi vile anavyotaka na kumpenda mtu amtakaye. Hata hivyo alisema licha ya kwamba nchi zinapaswa kuchukua hatua zaidi kulinda haki za mashoga na wapenzi wa jinsia moja, amesifu nchi 62 ambazo sasa zina sheria zinazopinga ubaguzi kwa misingi ya jinsia ya mtu. Alisema ni sahihi kubadili sheria lakini kubwa zaidi ni kubadili mt