Posts

Showing posts with the label gyme trainer

Pamoko LGBTQ Gyme Trainer Part 1

Image
     Angalia Video hii 👇 Mtunzi: CASEI KIALLE Facebook: PAMOKO Twitter: PAMOKO Instagram: PAMOKO YouTube: PAMOKO Jiunge Telegram Group GYME TRAINER PART 1 “Ok guys, tushamaliza kwa leo. Kama kuna anaependa kuendeleana mazoezi binafsi ukumbi uko wazi.” Ndivyo tulivyohitimisha mazoezi na ticha Meddy akamaliza. Hivi sijawaambia saivi nimeanza gym mwenzenu nataka nitengeneze shape namie… Basi mi nikawa nimekaa mahali napoza mwili nakunywa maji huku natazama tv. Basi nilipomaliza kupoza mwili nikawa naelekea kwenye sehemu za kuogea. Hii gym ina sehemy ya mabafu ambayo kuna ya mtu moja moja na kuna vyumba vingine mnaweza tumia hata watu wawili maana vina nafasi ya kuoga hata watatu bila shida. Nimefika kule nikakuta vile vyumba vya bafu vya mtu moja moja vimejaa. Nikakuta chumba kimoja tu cha watu zaidi ya wawili ndio kiko wazi. Mlango ulikua kama haujafungwa wote nikajua humu ndani hamna mtu. Nikausukuma mlango kwa confidence zote… Hee! Ticha wa gym huyu hapa… “Casey vipi? Kari