Pamoko LGBTQ Siku ya kuzaliwa
Watch This Video 👇 Mwandishi: PAMOKO Google: PAMOKO Facebook: PAMOKO Twitter: PAMOKO TikTok: PAMOKO Likee: PAMOKO Snapchat: PAMOKO Instagram: PAMOKO YouTube: PAMOKO PAMOKO SIKU YA KUZALIWA: Baada ya kumaliza elimu yagu ya msingi, nilipata bahati ya kujiunga na shule ya secondary St Anne Marie iliyopo maeneo ya mbezi Louis, Wazazi wangu waliamua kwamba niende kukaa shuleni huko huko yaani boarding, Nami sikuwa na kipingamizi maana nilikuwa nimechoka kubanwa banwa pale nyumbani kama mtoto wa kike, nilidhani kwamba nitakapokuwa boarding nitakuwa na uwezo wa kufanya mambo yangu bila kubanwa. Nilikuwa nikihisi kama siku za kwenda shuleni zikienda taratibu, nilikuwa nipo tayari kuondoka pale home after being stuck with my family for sixteen years. Boarding school ilikuwa bomba ile mbaya kwangu! Before I knew it, Nilikuwa na marafiki zangu kama watano hivi ambao nilijuana nao pale shuleni...karibu wotetukukuwa tukilingana umri. Hata hivyo, mimi nilikuwa mdogo kati ya wot