Pamoko LGBTQ Kifiro cha Ham
KIFIRO CHA HAM Mtunzi: PAMOKO Facebook: PAMOKO Twitter: PAMOKO Instagram: PAMOKO Google: PAMOKO Tangu Mdogo nilikua mtu wa kukaa pekeangu sana, hasa ikija kwa Ndugu. Wengi sikua na stori nao. Sikutaka mazoea ( zaidi ya Bill Nass na wimbo wake). Yani, Ndugu zangu nikikutana nao kwenye vikao au sherehe za familia tu, Basi. Form 4 , boarding school flani ivi, Sio Mbali na jijini. Weekend moja ilinikutia home mama akani beba kwenda kwenye Kikao cha harusi. Huko ndo nilipomuona Uncle Em Kwa mara kwanza. Tuliongea ongea, alionekana mtu muelewa na mcheshi.. pia na he alisema Sio mtu wa kujichanganya. Alikua anasoma SA sasa Amerudi nchini kutafuta Maisha. Miezi kadhaa baadae nilikua Bado boarding nakaribia kumaliza form4, sikukutana na uncle Em tena lakini tulikua tuki chat kwenye ka simu kangu kwa vificho sana, maana shule hawakuruhusu simu. Uncle alikua anaishauri namna ya Kutengeneza na Kuwa na marafiki wa maana, nilimwambia mengi kuhusu mimi, alikua an