Posts

Showing posts with the label madume

Pamoko LGBTQ Kolabo la madume

Image
        Watch This Video 👇 Mwandishi: PAMOKO Google: PAMOKO Facebook: PAMOKO Twitter: PAMOKO TikTok: PAMOKO Likee: PAMOKO Snapchat: PAMOKO Instagram: PAMOKO YouTube: PAMOKO KOLABO LA MADUME: Naitwa Black, natokea katika familia iliyojaliwa kipato. Naishi na kaka yangu, kwani mama na baba walishafariki, kaka yangu ni mtu wa kusafiri sana kutokana na kazi yake, hivyo mara nyingi huwa nakua na mfanyakazi wa kiume tu, he was kinda uptight, didnt like him that much ila zaidi pia pale nyumbani tuko na dereva wetu anitwa Kenny, ana kama miaka 30 lakini mpaka umri huo alikua hana mke wala sikuwahi kumuona wala kumsikia akiongea habari za kuwa na girlfriend. He was very handsome na msafi sana katika umri wangu wa miaka 20 tayari nilishabalehe lakini sikuwahi kufanya mapenzi na mwanamke hata mara moja. Nilikua na body nzuri yaani nipo attractive,pia soft labda kwa sababu ya matunzo mazuri ya kwetu na kutofanya kazi ngumu. Siku moja kama kawaida kaka alikua amekwenda safari kikazi Ge