Posts

Showing posts with the label apple

Pamoko LGBTQ Mfungwa aelezea utamu wa kufirana unavowakoleza gerezani

Image
      Angalia Video Gusa 👇 Mwandishi: PAMOKO Facebook: PAMOKO Instagram: PAMOKO Twitter: PAMOKO YouTube: PAMOKO Google: PAMOKO CEO WA APPLE ALISEMA USHOGA NI ZAWADI YANGU KUTOKA KWA MOLA: Afisa Mkuu Mtendaji (CEO) wa kampuni ya kutengeneza simu na kompyuta ya Apple Inc Bw Tim Cook amekiri kuwa hali yake ya kuwa shoga ndiyo zawadi kubwa zaidi aliyompa Mungu. Bw Cook alisema anafurahia hali yake na uamuzi aliofanya wa kutangaza wazi kuhusu hali yake, miaka minne baada ya kuja mbele ya umma kutangaza kuwa yeye hujihusisha na mapenzi ya mume kwa mume. “Ninajivunia sana hali yangu,” Bw Cook akasema katika mahojiano na mtangazaji wa CNN Christiane Amanpour Jumatano. Alisema kuwa shoga “ndiyo baraka kubwa sana ya Mungu kwangu.” Mnamo Oktoba 30, 2014, Bw Cook alitangaza wazi kuwa alikuwa shoga, baada ya muda mrefu wa watu kukisia hali hiyo. “Nilitangaza wazi kwa kuwa nilianza kupokea jumbe kutoka kwa watoto waliosoma mitandaoni kuwa nilikuwa shoga,” akaeleza Bi Amanpour. Alisema k