Pamoko LGBTQ Kifiro cha jirani yangu
Watch This Video 👇 Mwandishi: PAMOKO Google: PAMOKO Facebook: PAMOKO Twitter: PAMOKO TikTok: PAMOKO Likee: PAMOKO Snapchat: PAMOKO Instagram: PAMOKO YouTube: PAMOKO KIFIRO CHA JIRANI YANGU: Mara nyingi watu wanasema dunia ina maajabu yake, nami bila ubishi nalazimika kukubaliana na walimwengu kuhusiana na hilo. Needless to say, I got the biggest surprise nilipokuwa kidato cha nne miaka mitatu iliyopita Katika miaka hiyo, Nilikuwa kiongozi katika timu yetu ya mpira hapo shuleni. Mademu walikuwa hawaishi kujigonga kila kunapokucha,kiasi kwamba wazazi wangu walikuwa wakinionya na kunambia niache kuongea nao kwa simu mpaka usiku wa manane. Nilikuwa ninavutia kishenzi, Mademu hawakuacha kunitizama kwa macho ya matamanio, na wavulana pia hawakuacha kunitizama kwa macho ya wivu pia kila nilipokuwa nikikatiza, I was sexy, attractive, very hot guy, i drove people crayz , and i loved it!. Tulikuwa tukiishi maeneo ya mikocheni, mtaa ambao watu wa hali ya kawaida si maisha ya juu sana