Pamoko LGBTQ Gyme Trainer Part 2
Angalia Video hii 👇 Mtunzi: CASEI KIALLE Facebook: PAMOKO Twitter: PAMOKO Instagram: PAMOKO YouTube: PAMOKO Jiunge Group la Telegram GYM TRAINNER (Part 2) Ile game ya bafuni hatukuimaliza, maana mazingira hayakuwa rafiki. “Casey hebu tutoke hapa sasa tumekaa sana my dear…” alisema Meddy my Gym Trainner. Tukamaliza kuogeshana na kutoka pamoja. Yaani ukituona wakati tunatoka utasema dah hawa jamaa wameiva kwa mazoezi na kweli tizi lilikua limeingia haswa ila dah! Ungetukuta dakika chache zilizopita, nilivyokua nampakua Meddy, usingeamini. Tuliingia kwenye gari yangu na Meddy akasema twende kwake. Sikua napajua akawa ananielekeza njia hadi nikafika. Baada ya kuingia ndani akanikaribisha sebuleni kwake kisha akaniuliza natumia nini, nikamuomba alete cha kuchangamsha mwili! Bila ajizi akaleta cocktail moja sijui alichanganya nini ila ilikua na vibe kali sana… “Ticha Meddy leo umenifunza kitu kipya sijawahi experience. Kwanza hivi ulijua kuwa mie ni mdau?”. Meddy alicheka