Pamoko LGBTQ Kifiro cha kaka yangu
Watch This Video👇 Mwandishi: PAMOKO Google: PAMOKO Facebook: PAMOKO Twitter: PAMOKO TikTok: PAMOKO Likee: PAMOKO Snapchat: PAMOKO Instagram: PAMOKO YouTube: PAMOKO KIFIRO CHA KAKA YANGU: Mama yangu ameolewa na mwanaume ambaye alikuwa na mke wake na watoto watatu mpaka sasa sijajua wote "mama na mume wake mpya " ilikuwaje wakaachana na wapenzi wao wa mwanzo. Basi yule baba wa kufikia akawa anaishi nasi nyumba moja hapa Dar huku mke wake wa zamani akiwa anaishi na watoto wao wote 3 mimi kwa mama nikiwa pekee ila mara nyingi,hasa siku za wikiendi watoto wa huyo baba huwa wanakuja kututembelea. Siku moja tuliamua kwenda kutembea Arusha mimi,mama,na huyo baba siku hiyo wakati tunajitayarisha kwa ajili ya safari,mtoto mkubwa wa huyo baba yangu wa kufikia akafika nyumbani kwetu,na akatwambia kuwa ametibuana na mama yake,hivyo anataka uwepo home kwetu kwa siku mbili tatu mpaka mambo yatakapokua shwari. Kwakuwa siku hiyo tulikuwa tuna safari,na hatukuona sababu ya